Kuna Namna ( There’s a Way ) By Mercy Masika Lyrics and Video

SONG TITLE: Kuna Namna ( There’s a Way )

AUTHOR: Mercy Masika

LANGUAGE: Kenya

 Kuna Namna ( There’s a Way ) By Mercy Masika Lyrics

Kuna aina za upendo, aina nyingi
Lakini upendo wako ndio halisi
Kuna aina za utukufu, aina nyingi
Lakini wako ni mkuu na wa milele
Kuna aina pia za miungu
Lakini we ni Mungu mkuu aliye haiNimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)
Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)

Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende

Hukututenda sawa sawa na hatia zetu
Wala hukutulipa kwa maovu yetu
Umeniokoa mtegoni wa mwindaji
Kwa manyoya umenifunika niko salama

Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)
Ujana wangu (Ndio) umerejeshwa (Ndio)
Ujana wangu (Ndio) umerejeshwa (Ndio)Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende

Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende

ALSO SEE  God of Everything Lyrics by Viwe Nikita

THE VIDEO